Tunaunda suluhisho za kisasa za teknolojia kwa biashara za Tanzania na Afrika Mashariki
Kutoka muundo wa website hadi mfumo mkubwa wa biashara — tunashughulikia kila kitu kwa ubora wa hali ya juu
Tunaunda websites za kisasa, responsive, na za kuvutia kwa biashara yako. Kutoka landing pages hadi mifumo mikubwa ya e-commerce.
Mifumo ya usimamizi wa biashara: ERP, CRM, Inventory, Loan Management, Payroll na zaidi - kulingana na mahitaji yako.
Apps za Android na iOS kwa kutumia Flutter. UX nzuri, haraka, na zinafanya kazi offline pia.
Michezo ya kompyuta na mobile inayovutia. Kutoka casual games hadi simulation za kuvutia.
Hosting ya haraka, salama, na bei nafuu kwa biashara za Tanzania. cPanel, SSL bure, uptime 99.9%.
Mfumo wa malipo ya kisasa: mobile money, cards, QR codes. API tayari kwa integration na mfumo wako.
Mfumo wa usimamizi wa mikopo kwa biashara za microfinance. Matawi mengi, SMS notifications, ripoti za PDF.
Mifumo yetu inayofanya kazi tayari — unaweza kuanza kuitumia leo hii
Huduma za hosting za bei nafuu na za kuaminika kwa biashara za Tanzania. cPanel, SSL bure, uptime 99.9%.
Mfumo wa malipo ya kisasa kwa merchants wa Tanzania. Mobile money, cards, QR, invoices na API.
Mfumo wa usimamizi wa mikopo kwa biashara ndogo na kubwa. Matawi mengi, mawakala, SMS, ripoti.
Mchezo wa kuendesha basi Tanzania - barabara halisi, magari ya Tanzania, uzoefu wa kweli wa dereva.
Kampuni iliyosajiliwa Tanzania, inayotoa huduma za teknolojia kwa biashara ndogo na kubwa.
BLM Tech Investment (BlmSoft) ni kampuni ya teknolojia iliyosajiliwa Tanzania. Tunatengeneza websites, systems, mobile apps, games, na kutoa huduma za hosting na fintech kwa biashara ndogo na kubwa.
Tunajua changamoto za biashara za Tanzania. Ndiyo maana bidhaa na huduma zetu zimejengwa hasa kwa mazingira ya hapa — malipo ya mobile money, Kiswahili, na msaada wa haraka wa ndani.
Miradi inatekelezwa kwa wakati na kwa ubora unaokuridhisha
Mifumo yetu inajengwa na usalama kama kipaumbele kikuu
Timu yetu ipo tayari kukusaidia wakati wowote unapohitaji
Mifumo yetu inaunganika na M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa
Timu ya wataalamu waliojitoa kufanya biashara yako ifanikiwe
Taarifa za timu zinakuja hivi karibuni
Mafanikio ya wateja wetu ndiyo uthibitisho mkubwa zaidi wa kazi yetu
BLM Tech walitengeneza mfumo wetu wa usimamizi kwa ubora mkubwa. Sasa biashara yangu inakwenda vizuri sana na muda umepungua sana.
Bmkopo imebadilisha jinsi tunavyosimamia mikopo yetu. Ripoti ni wazi, wateja wetu wanaona tofauti kubwa.
App tuliyotengenezwa na BlmSoft inafanya kazi vizuri sana. Wateja wetu wanaiipenda na shughuli zimekua mara tatu.
Hosting ya Bhost ni ya haraka na bei yake inafaa. Nimehama kutoka hosting nyingine na tofauti ni kubwa sana.
Habari, mwongozo, na mawazo kuhusu teknolojia na biashara
Bus simulator Tanzania ni game ya kuendesha mabus ambapo yamekua designed kwa mazingira ya tanzania, buses za kitanzania...
Soma ZaidiTuna furaha kusikia kuhusu mradi wako. Tuma ujumbe au piga simu — tutajibu haraka iwezekanavyo.