Bus simulator Tanzania ni game ya kuendesha mabus ambapo yamekua designed kwa mazingira ya tanzania, buses za kitanzania na brands za kitanzania
katika eneo hili tutaweza kutoa taarifa ni lini game inatoka, na updates zake pia