10 Jul 2026 02:27
#1
**Features zilizopo kwenye Bus Simulator Tanzania – BST**
Bus Simulator Tanzania imetengenezwa ili kumpa mchezaji experience ya kuendesha basi kwa mazingira ya Kitanzania. Baadhi ya features zilizopo ni hizi:
1. **Mfumo wa Routes na Vituo**
Mchezaji anaweza kuchagua route na kuendesha basi kutoka kituo hadi kituo. Kila stop ina taarifa zake kama jina la kituo, abiria wa kupanda, abiria wa kushuka, na malipo ya safari.
2. **Kupakia na Kushusha Abiria**
Unapofika kituoni, abiria wanaweza kushuka na wengine kupanda kulingana na stop husika. Hii inaongeza uhalisia wa safari.
3. **Mfumo wa Milango ya Basi**
Mchezaji anaweza kufungua na kufunga milango ya basi. Abiria wanaingia au kutoka baada ya milango kufunguliwa.
4. **Mapato, Coins na XP**
Unapomaliza safari au kupakia abiria, unapata mapato/coins na XP kulingana na route na performance yako.
5. **Destination Bonus**
Ukikamilisha safari mpaka destination ya mwisho, unaweza kupata bonus maalum ya route.
6. **Controls Tofauti**
Game ina support ya aina tofauti za control kama arrows, steering wheel ya UI, na gyro/tilt control kwa simu.
7. **Graphics na Performance Settings**
Mchezaji anaweza kuchagua quality kama Low, Medium, High au Ultra. Pia kuna settings za resolution, shadows, render scale, bloom, chromatic effect na post-processing.
8. **Traffic AI Settings**
Kuna mfumo wa traffic ambao unaweza kubadilishwa kulingana na uwezo wa simu au preference ya mchezaji.
9. **Account na Activation System**
Game ina mfumo wa account creation na activation ili kuhifadhi taarifa za mchezaji na progress yake.
10. **Google Play Games Achievement**
Kuna achievement system inayompa mchezaji changamoto na malengo ya kufikia ndani ya game.
Tunaendelea kuboresha game hatua kwa hatua, hivyo maoni yenu ni muhimu sana.