10 Jul 2026 02:25
#1
Karibu kwenye Forum rasmi ya **Bus Simulator Tanzania – BST**!
Hii ni sehemu maalum kwa ajili ya wachezaji wote wa Bus Simulator Tanzania kushare maoni, kuuliza maswali, kuripoti changamoto, kupendekeza maboresho, na kujadili gameplay kwa ujumla.
Katika game hii utaendesha basi kwenye mazingira ya Kitanzania, ukifuata route, kusimama vituoni, kupakia na kushusha abiria, kufungua na kufunga milango, kukusanya mapato, kupata XP, na kuboresha uzoefu wako wa udereva.
Forum hii ipo kwa ajili yako. Kama umeona bug, una idea ya route mpya, unataka feature mpya, au unahitaji msaada kuhusu controls, settings au gameplay, post hapa tukujibu.