Nyumbani Huduma Bidhaa Kuhusu Timu Blog Forum Wasiliana Nasi
Kampuni Inayoongoza Tanzania

Tunatengeneza
Websites_
Zinazobadilisha Biashara

Tunaunda suluhisho za kisasa za teknolojia kwa biashara za Tanzania na Afrika Mashariki

0
Miradi Iliyokamilika
0
Wateja Wanaotumia
0
Bidhaa za Moja kwa Moja
blmsoft.php
// BlmSoft - Building the future
class BlmSoft {
  private $services = [
    'websites',
    'mobile_apps',
    'systems',
    'games',
    'hosting',
    'fintech'
  ];
  public function deliver() {
    return 'excellence';
  }
}
Miradi 50+ Iliyokamilika
Ubora wa Juu
Salama 100%
0+
Miradi Iliyokamilika
0+
Wateja Warioridhika
0
Bidhaa Zinazofanya Kazi
0%
Uptime wa Seva Zetu
Huduma Zetu

Tunakupa Suluhisho Kamili

Kutoka muundo wa website hadi mfumo mkubwa wa biashara — tunashughulikia kila kitu kwa ubora wa hali ya juu

Website Development

Tunaunda websites za kisasa, responsive, na za kuvutia kwa biashara yako. Kutoka landing pages hadi mifumo mikubwa ya e-commerce.

UI/UX Design Responsive Design SEO Optimized CMS Integration Fast Loading

System Development

Mifumo ya usimamizi wa biashara: ERP, CRM, Inventory, Loan Management, Payroll na zaidi - kulingana na mahitaji yako.

Custom Built Secure & Reliable Multi-user Reports & Analytics API Ready

Mobile App Development

Apps za Android na iOS kwa kutumia Flutter. UX nzuri, haraka, na zinafanya kazi offline pia.

Flutter (Android & iOS) Offline Support Push Notifications Payment Integration App Store Deploy

Game Development

Michezo ya kompyuta na mobile inayovutia. Kutoka casual games hadi simulation za kuvutia.

Unity Engine 3D & 2D Games Mobile Optimized Multiplayer Support Leaderboards

Web Hosting (Bhost)

Hosting ya haraka, salama, na bei nafuu kwa biashara za Tanzania. cPanel, SSL bure, uptime 99.9%.

cPanel Hosting SSL Certificate 99.9% Uptime Daily Backup 24/7 Support

Fintech / Payment (BLMPay)

Mfumo wa malipo ya kisasa: mobile money, cards, QR codes. API tayari kwa integration na mfumo wako.

Mobile Money Card Payments QR Codes Payment API KYC Verification

Loan Management (Bmkopo)

Mfumo wa usimamizi wa mikopo kwa biashara za microfinance. Matawi mengi, SMS notifications, ripoti za PDF.

Multi-branch Loan Tracking SMS Alerts PDF Reports Flutter API
Bidhaa Zetu

Bidhaa Zilizo Hai

Mifumo yetu inayofanya kazi tayari — unaweza kuanza kuitumia leo hii

Hosting

Bhost - Web Hosting

Huduma za hosting za bei nafuu na za kuaminika kwa biashara za Tanzania. cPanel, SSL bure, uptime 99.9%.

Fintech

BLMPay - Payment Gateway

Mfumo wa malipo ya kisasa kwa merchants wa Tanzania. Mobile money, cards, QR, invoices na API.

System

Bmkopo - Loan Management

Mfumo wa usimamizi wa mikopo kwa biashara ndogo na kubwa. Matawi mengi, mawakala, SMS, ripoti.

🎮
Hivi Karibuni
Game

Bus Simulator Tanzania

Mchezo wa kuendesha basi Tanzania - barabara halisi, magari ya Tanzania, uzoefu wa kweli wa dereva.

B
BlmSoft
BLM Tech Investment Ltd

Kampuni iliyosajiliwa Tanzania, inayotoa huduma za teknolojia kwa biashara ndogo na kubwa.

5+
Miaka ya Uzoefu
7
Huduma Zinazotolewa
4
Bidhaa za Moja kwa Moja
30+
Wateja Walio Hai
🇹🇿
Tanzania Based
Kuhusu Sisi

Teknolojia Iliyoundwa Kwa Ajili ya Afrika

BLM Tech Investment (BlmSoft) ni kampuni ya teknolojia iliyosajiliwa Tanzania. Tunatengeneza websites, systems, mobile apps, games, na kutoa huduma za hosting na fintech kwa biashara ndogo na kubwa.

Tunajua changamoto za biashara za Tanzania. Ndiyo maana bidhaa na huduma zetu zimejengwa hasa kwa mazingira ya hapa — malipo ya mobile money, Kiswahili, na msaada wa haraka wa ndani.

Utekelezaji wa Haraka

Miradi inatekelezwa kwa wakati na kwa ubora unaokuridhisha

Usalama wa Juu

Mifumo yetu inajengwa na usalama kama kipaumbele kikuu

Msaada 24/7

Timu yetu ipo tayari kukusaidia wakati wowote unapohitaji

Mobile Money Integration

Mifumo yetu inaunganika na M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa

Fanya Kazi Nasi
Timu Yetu

Watu Wanaotufanya

Timu ya wataalamu waliojitoa kufanya biashara yako ifanikiwe

Taarifa za timu zinakuja hivi karibuni

Maoni ya Wateja

Wanasema Nini Wateja Wetu

Mafanikio ya wateja wetu ndiyo uthibitisho mkubwa zaidi wa kazi yetu

BLM Tech walitengeneza mfumo wetu wa usimamizi kwa ubora mkubwa. Sasa biashara yangu inakwenda vizuri sana na muda umepungua sana.

A
Amina Mwangi
Mkurugenzi — Amina Enterprise Ltd

Bmkopo imebadilisha jinsi tunavyosimamia mikopo yetu. Ripoti ni wazi, wateja wetu wanaona tofauti kubwa.

H
Hassan Juma
Mwanzilishi — Juma Microfinance

App tuliyotengenezwa na BlmSoft inafanya kazi vizuri sana. Wateja wetu wanaiipenda na shughuli zimekua mara tatu.

G
Grace Msigwa
CEO — TechStart Tanzania

Hosting ya Bhost ni ya haraka na bei yake inafaa. Nimehama kutoka hosting nyingine na tofauti ni kubwa sana.

O
Omar Ally
Meneja — Ally Holdings
Blog Yetu

Makala za Hivi Karibuni

Habari, mwongozo, na mawazo kuhusu teknolojia na biashara

BLM Admin 30 Nov -0001 29

Bus Simulator Tanzania

Bus simulator Tanzania ni game ya kuendesha mabus ambapo yamekua designed kwa mazingira ya tanzania, buses za kitanzania...

Soma Zaidi
Anza Leo

Una Mradi? Twaambie!

Tuko tayari kukusaidia kutekeleza wazo lako la teknolojia. Usizuiwe na tatizo lolote — fikia sisi leo.

Wasiliana

Zungumza Nasi Leo

Tuna furaha kusikia kuhusu mradi wako. Tuma ujumbe au piga simu — tutajibu haraka iwezekanavyo.

Simu +255 688 231 247
Barua Pepe info@blmtec.co.tz
Mahali Dar es Salaam, Tanzania

Tuma Ujumbe